Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Februari, 2015

RATIBA LIGI KUU UINGEREZA MECHI ZA LEO NA KESHO HII HAPA

Picha
Baada ya kukamilika kwa raundi ya 24 hapo siku ya jumapili leo tena timu zinztimba dimbani kila mmoja akisaka pointi

BARCELONA USO KWA USO NA VILLARREAL COPA DEL REY

Picha
Barcelona watawakaribisha Villarreal wakati Athletic Bilbao watakutana na Espanyol katika hatua ya nusu fainali ya nusu fainali ya kombe la mfalme alimaarufu kama

WENGER: SIJUI WILSHERE ATARUDINI

Picha
Kocha wa Arsenal, Arsene Wenger, amesema bado hajajua lini mchezaji wa kiungo Jack Wilshere atarejea uwanjani baada ya

USHINDI WA IVORY COAST WAZAA SIKUKUU

Picha
Ivory Coast imetangaza Jumatatu kuwa siku ya mapumziko kusherehekea ushindi wake dhidi ya Ghana katika fainali ya kombe la mataifa ya

IPI NI NAFASI SAHIHI YA ROOONEY UWANJANI?? (ANGALIA HAPA)

Picha
  Mwanandinga  huyu wa Manchester United maranyingi anatumiwa kama kiungo na kocha wake Louis van Gaal. Wanasoka wengi wamekuwa wakijiuliza huyu Rooney ni kiungo? au mshambuliaji wa kati? na mwisho wamekuwa wakiishia kubakia na

VAN GAAL:MIPIRA MIREFU ITAIOKOA MAN UTD

Picha
Manchester United imeonekana ni timu inayopenda kutumia mipira mirefu baada ya droo ya 1-1 mbele ya West Ham katika uwanja wa Upton Park siku ya

LIVERPOOL: STERLING HAONDOKI

Picha
Meneja wa Liverpool Brendan Rodgers amekaliliwa akisema kuwa Raheem Sterling anamkataba mnono klabuni hapo na mataizo madogo madogo ya mkataba yatamalizika hivi

ARSENAL ITAMALIZA NAFASI YA TATU

Picha
Charlie Nicholas Amesema kuwa klabu ya Arsenal inaweza kumaliza ikiwa nafasi ya tatu ktika ligi kuu ya England huku Tottenham akisema kuwa yaweza kumaliza katika nafasi ya nne

FALCAO WILL LEAVE MAN UTD

Picha
Radamel Falcao will not remain at Manchester United after poor display at West Ham, says Jamie Carragher

CHRIS RAMSEY SAYS HE WANT TO MANAGE QPR

Picha
QPR caretaker manager Chris Ramsey has admitted that he would love the opportunity to take the role on a permanent basis.

SAM SMITH ATWAA TUZO MAREKANI

Picha
Mwanamuziki raia wa Uingereza Sam Smith ameshinda tuzo mbili za Grammys zilizofanyika Los Angles Marekani.

IVORY COAST WATWAA MWANA MBUZI MABINGWA AFCON

Picha
Ivory Coast wamekuwa mabingwa wapya wa Kombe la Mataifa ya Afrika mwaka 2015 baada ya kufuinga Ghana kwa penalti 9 - 8 katika mchezo wa fainali ulichezwa katika uwanja wa

ATLETICO WIN 4-0 REAL MADRID

Picha
Champions Atletico Madrid upset Real Madrid's title challenge as they extended their unbeaten run over their city rivals to six matches.

CHELSEA WIN AND HANDLE 7 POINT FAR MAN CITY

Picha
Chelsea extended their lead at the top of the table to seven points after seeing off an Aston Villa team who finally ended their Premier League goal drought after 11 hours.

MATOKEO LIGI KUU TANZANIA

Picha
Haya ni matokeo ya michezo yote katika ligi kuu Tanzania ya Vodacom, utapata kujua nani kashinda nani kadroo na nani kafungwa hii leo.

MATOKEO LIGI KUU UINGEREZA HAYA HAPA (PICHA)

Picha
Baada ya baadhi ya timu takribani 12 kumaliza mechi zake hivi punde na hapa nakuletea matokeo yote waliofunga na kila timu katika msimamo ipo nafasi ya ngapi?

SIMBA YAAMBULIA SARE MKWAKWANI TANGA

Picha
Klabu ya Simba kwa mara nyingine tena imeweza kuambulia sare ya 0-0 mbele ya wenyeji wao Coastal Union katika mpambano wa ligi kuu bara uliochezwa mapema hii leo majira ya saa 10:00 jion

HUYU NDIYE MKALI WA ARSENAL FEB 7 EPL

Picha
  Kila mmoja kwa upande wake katika mpambano kati ya Tottenham na Arsenal anaweza kumpa mchezaji mmoja ambaye amemuona ni mchezaji bora katika mpambano huo; mimi bila shaka Harry Kane ndiye kinara wa leo na hapa nakuletea historia yake iliyojaa vituko kadha wa kadha.

TOTTENHAM DEFEAT ARSENAL EPL

Picha
Harry Kane continued his superb recent form with two goals as Tottenham came from behind to beat Arsenal in an entertaining north London derby.

ARSENAL YAAMBULIA KIPIGO EPL

Picha
Klabu ya Arsenal the gunners leo hii wameambulia kichapo cha bao 2-1 mbele ya wenyeji wao Tottenham katika mchezo uliochezwa mapema hii leo majira ya saa 10:00 za jioni ukiwa ni mchezo wa

STEVEN GERRARD ALREADY FOR EVERTON

Picha
Liverpool captain Steven Gerrard relishing facing Everton in final derby   Liverpool captain Steven Gerrard says his final derby against Everton is a fixture he has looked out for since the start of the season.

ALEXIS SANCHEZ WILL ATTEMPT TO PLAY AGAINST TOTTENHAM...

Picha
Arsenal manager Arsene Wenger has opened the door for star forward Alexis Sanchez to play at Tottenham on Saturday.

RATIBA YA LIGI KUU HISPANIA(LA LIGA) MAHASIMU WAWILI KUKUTANA...

Picha
Nyasi zitaendelea kuwaka moto wikendi hii katika ligi kuu Hispania baada ya mechi kadhaa ndani ya wiki hii kumalizika. Mpambano ambao unatolewa macho na wadau wengi wa soka ni lile pambano la watani wa jadi Atletico de Madrid dhidi ya

RATIBA YA MECHI LIGI KUU UINGEREZA(EPL)

Picha
Hizo ndizo mechi za kesho na kesho kutwa katika ligi kuu ya England ambapo kwa namna moja ama nyingine wadau wa soka tunatarajia kubadilika kwa msimamo wa lig

WOODS AANDAMWA NA JINAMIZI LA MAJERAHA

Picha
  Mcheza Gofu Tiger woods ameendelea kuandamwa na tatizo la kuwa majeruhi baada ya kupata maumivu ya mgongo

BONY AMNYANG'ANYA NAMBA JOVETIC MAN CITY

Picha
Man City imemuengua Mshambuliaji Stevan Jovetic katika kikosi kinachoshiriki michuano ya klabu bigwa ulaya na nafasi yake kuchukuliwa na

YOU KNOW WHAT'S GOING ON AT BORUSSIA DORTMUND????

Picha
Borussia Dortmund have gone from German champions and European contenders to the Bundesliga's bottom club in the blink of an eye

IVORY COST HAOO FAINALI AFCON

Picha
Timu ya Ivory Coast imefuzu kucheza fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika, AFCON, baada ya kuilaza Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo 3-1 katika nusu fainali ya

JIONEE MAAJABU KATIKA SOKA LA MWAKA 2015.......

Picha
Katika hali ya kushangaza na isiyo ya kawaida imetokea tena katika ulimwengu wa soka duniani baada ya timu ile ambayo katika ligi kuu nchini kwao kushikilia mkia ikitarajiwa kushuka lakini ndio inayofanya vizuri katika michuano ya UEFA

YANGA YATINGA KILELENI

Picha
 Klabu ya Yanga ali maarufu wanajangwani leo imefanikiwa kutinga kileleni mwa ligi kuu Tanzania Bara baada ya kufanikiwa kuibuka kidedea cha 1-0  mbele ya Wagosi wa kaya Coastal Unioni katika uwanja wa

HARRY REDKNAPP AJIUZULU LEO

Picha
Harry Redknapp amejiuzulu kazi ya kuifundisha timu ya Queens Park Rangers ya ligi kuu ya England,EPL. Redknapp alimpigia simu mmiliki wa timu hiyo Tony Fernandes, siku ya

USAJILI ULIOFANYWA NA CHELSEA KATIKA DIRISHA DOGO

Picha
Katika usajili wa dirisha dogo uliokamilika februari 2 mwaka huu vilabu mbali mbali vimewauza wachezaji na kuwanunua wengine ambao hata hawakutarajiwa kuuzwa au kusajiliwa na mashabiki wa

USAJILI ULIOKAMILIKA DIRISHA DOGO ULAYA

Picha
Usajili uliokamilika katika dirisha dogo Uingereza ambapo kuna baadhi ya vilabu vimepata mpunga na wachezaji wengine kunufaika pia kutokana na usajili huo.

DI MARIA AVAMIWA NYUMBANI KWAKE

Picha
  Kiungo wa kati wa Manchester United Angel Di Maria ndio mwathiriwa wa hivi karibuni wa wizi wa kutumia mabavu nyumbani kwake huko Cheshire Uingereza

DIAFRA SAKHO KUCHUNGUZWA NA FIFA

Picha
Mchezaji Diafra Sakho na kilabu ya West Ham zinakabiliwa na uchunguzi kutoka shirikisho la soka duniani FIFA kufuatia hatua ya mchezaji huyo kujiondoa katika

DEGEA KWENDA REAL MADRID NI KIVULI CHA DILI LA RONALDO

Picha
Real Madrid ipo kwenye harakati za kumsajili golikipa wa Manchester United, David de Gea kwa gharama yoyote ile. Kitendo hicho cha Real Madrid kinatia kivuli dili la Cristiano Ronaldo kurudi

TUNISIA YABAMIZWA NA EGUITORIAL GUINEA

Picha
Equitorial Guinea iliishinda Tunisia katika mazingira ya kutatanisha ili kufika katika nusu fainali ya kombe la mataifa ya Afrika. Ahmed Akaichi aliiweka kifua mbele

LAMPARD APOKELEWA KIFALME STAMFORD BRIDGE

Picha
Frank Lampard believes the title race is far from over despite Cheslea retaining a big lead Frank Lampard applauds the Chelsea fan at the end of the 1-1 draw Frank Lampard Amefurahishwa na mapokezi ya shangwe kutoka kwa mashabiki wa Chelsea baada ya kurudi katika uwanja wa Stamford Bridge

MANCHESTER YAKWEA HADI NAFASI YA TATU (EPL)

Picha
Katika ligi kuu ya Uingerza (EPL): Manchester United imesogea hatua moja hadi nafasi ya tatu baada ya kuifunga 3-1 Leicester City. Robin van Persie ndiye aliye kuwa wa

MANCHESTER UNITED YAMUACHIA FRETCHER-ASAINI WEST HAM

Picha
Darren Fletcher ameelekea West Ham kwa kile kilichodaiwa Mabosi wa pande zote mbili wamekubaliana. Louis van Gaal aliweka wazi ijumaa kuwa Fletcher mwenye umri wa miaka 30 anafanya mazungumzo na

CHELSEA WALAMBA WINGA MPYA TOKA ITALY

Picha
Juan Cuadrado tayari amesha tua Chelsea, hayo yamebainishwa na kocha wa Fiorentina, Vincenzo Montella Kocha huyo amesema kuwa Chelsea watafurahia huduma ya Juan Cuadrado. Kwa mujibu wa viongozi wa Fiorentina ya

FT: CHELSEA 1-1 MAN CITY

Picha
Ligi kuu Uingereza: Chelsea wanaendelea kushikilia pointi tatu mkononi baada ya sare ya 1-1 na  Manchester City wikendi hii.   Chelsea wanabakia na pointi tatu mkononi katika msimamo wa ligi kuu Uingereza baada ya sare ya 1-1 na timu ya pili Manchester City katika uwanja wa Stamford Bridge. Loic Remy aliiweka