Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya ENGLAND

SAM ALLARDYCE KUWANIA UKOCHA ENGLAND

Picha
Bossi wa Sunderland Sam Allardyce anafanyiwa mahojiano kwaajili ya kuwa kocha wa Uingereza Sunderland wame shtushwa baada ya Sam Allardyce kusikia kuwa anafanya mahojiano ili kuwa kocha wa timu ya taifa ya Uingereza akiwa nyumbani kwa mwenyekiti msaidizi wa chama cha soka cha Uingereza FA,  David Gill jumanne hii.

TOTTENHAM YAMSAJILI VINCENT JANSSEN

Picha
  Tottenham imemsajili Vincent Janssen katika dili la miaka minne Tottenham imekamilisha usajili wa Vincent Janssen kutoka AZ Alkmaar katika mkataba wa miaka minne.

ENGLAND YAPATA KOCHA WA MUDA

Picha
Gareth Southgate,kocha wa muda wa England Chama cha soka nchini England kinajiandaa kumtangaza Gareth Southgate kuwa kocha wa muda wa timu yake ya taifa katika mwanzo wa kampeni za kuwania kufuzu kombe ka dunia

KOCHA WA ENGLAND AJIUZULU BAADA YA KICHAPO

Picha
Roy Hodgson amejiuzulu kuendelea kuwa kocha wa timu ya taifa ya England punde mara baada ya kufungwa na Iceland katika hatua ya 16 bora ya michuano ya Ulaya Euro 2016

ROONEY AVUNJA REKODI YA SIR BOBBY

Picha
Wayne Rooney ameivunja rekodi ya upachikaji mabao ya muda wote katika timu ya taifa ya England, iliyokuwa ikishikiliwa na Sir Bobby Charlton katika mchezo dhidi ya Switzerland,uliopigwa uwanjani