Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya AL AHLY

AL AHLY WAPASHA MARA YA MWISHO

Picha
MAZOEZI YA MWISHO YA AL AHLY TAIFA KABLA YA KUIVAA YANGA KESHO TAIFA MAZOEZI YA MWISHO YA KIKOSI CHA AL AHLY KABLA YA MECHI YA KESHO DHIDI YA YANGA KWENYE UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR ES SALAAM. CHINI YA KOCHA MARTIN JOL, KIKOSI HICHO KILIFANYA MAZOEZI YAKE HAYO LEO HII JIONI KWENYE UWANJA HUO.

AL AHLY USO KWA USO NA YANGA TAIFA

Picha
Yanga watakutana na Al Ahly uwanja wa taifa Dar es Salaam Klabu ya Young Africans itashuka dimbani kesho Jumamosi kucheza dhidi ya miamba wa Misri Al Ahly hatua ya 16 bora katika Ligi ya Mabingwa barani Afrika (CAF CL). Mechi hiyo itachezewa uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam kuanzia saa 10 kamili kwa saa za Afrika Mashariki.