MJUE JAMES RODRIGUEZ
Jina kamili anaitwa James Rodriguez akiwa na takribani miaka 24, alizaliwa Jul 12, 1991 katika mji wa CĂșcuta nchini Colombia , urefu wake ni mita 1,80 m, kwa sasa ni mchezaji wa klabu ya Real Madrid inayoshiriki ligi kuu ya Hispania alimaarufu kama Laliga.Rodriguez alijiunga na klabu hiyo Jul 22, mwaka 2014 kwa ada ya uhamisho wa Euro 80m.