Karibu upate habari za michezo ya aina zote kwa haraka na uhakika. Utapata habari za soka, mpira wa kikapu, Tennis, mpira wa pete, masumbwi, mashindano ya magari, riadha na michezo mingine. Hapa utapata matokeo ya mechi mbalimbali, taarifa za wachezaji na timu zao.
MATOKEO LIGI KUU TANZANIA
Pata kiungo
Facebook
X
Pinterest
Barua pepe
Programu Nyingine
Haya ni matokeo ya michezo yote katika ligi kuu Tanzania ya Vodacom, utapata kujua nani kashinda nani kadroo na nani kafungwa hii leo.
Chelsea imefanikiwa kumsajili Michy Batshuayi Michy Batshuayi amefanikiwa kujiunga na Chelsea baada ya kukamilika kwa vipimo vya afya huko Bordeaux, chanzo cha Sky kimeripoti
Ikiwa leo ni Septemba 21, 2016 magazeti ya leo yamekuja na habari kadha wa kadha ikiwemo ile ya Ajali mbaya, mwamuzi kiboko apewa Yanga vs Simba na kwenye burudani Alikiba Helikopta Diamond
Katika hali ya kushangaza na isiyo ya kawaida imetokea tena katika ulimwengu wa soka duniani baada ya timu ile ambayo katika ligi kuu nchini kwao kushikilia mkia ikitarajiwa kushuka lakini ndio inayofanya vizuri katika michuano ya UEFA
Maoni
Chapisha Maoni