Ruka hadi kwenye maudhui makuu

ARSENAL ITAMALIZA NAFASI YA TATU

Charlie Nicholas Amesema kuwa klabu ya Arsenal inaweza kumaliza ikiwa nafasi ya tatu ktika ligi kuu ya England huku Tottenham akisema kuwa yaweza kumaliza katika nafasi ya nne bora.
Charlie Nicholas ametabili kuwa Wenger na Pochettino wanaweza kumaliza wakiwa topu 4.
 
Charlie Nicholas amesema anafikiri arsenal yaweza kumaliza ikiwa juu ya Tottenham mpaka mwishoni mwa msimu huku akidai kuwa zote timu zitamaliza zikiwa nafasi nne za juu.

Arsenal v Leicester

Spurs wamefanikiwa kupanda hadi nafasi ya tano baada ya kushinda 2-1 jumamosi katika dabi ya Landoni ya kaskazini. 
"Na fikiri Arsenal watamaliza wakiwa nafasi ya tatu" alisema Charlie Nicholas

"Bado sijavutiwa na Manchester United. Nadhani Spurs na Arsenal zote zitamaliza zikiwa nafasi nne za juu."

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii