DEGEA KWENDA REAL MADRID NI KIVULI CHA DILI LA RONALDO




Real Madrid ipo kwenye harakati za kumsajili golikipa wa Manchester United, David de Gea kwa gharama yoyote ile.

Kitendo hicho cha Real Madrid kinatia kivuli dili la Cristiano Ronaldo kurudi
Manchester United kama ilivyobainishwa na waandishi wa habari za michezo mbalimbali.

Madrid walimsajili Ronaldo kutoka Manchester United mwaka 2009 kwa dau la £80million baada ya mchezaji huyo kuonesha nia yake ya kuchezea vigogo hao wa ligi kuu ya Hispania alimaarufu kama La Liga. 
De Gea, ambaye alishinda tuzo ya mchezaji bora wa mwaka ndani ya United mwaka uliopita anamatumaini pia na mwaka huu anaweza kushinda.

Mchezaji huyo wa zamani wa Atletico Madrid amebakiza miezi 18 tu ili kumaliza mkataba wake na United , lakini bosi wa manchester united Louis van Gaal amesema kuwa De Gea kama atarudi hispania basi watabadilishana na goli kipa wa sasa wa Real Madrid Iker Casillas.

 David De Gea akilalamika kwa Refali kutokana na maamuzi anayoyatoa

 David De Gea akiukamata mpira vilivyo baada ya kurudishiwa na beki wake

David De Gea akiokoa mpira unaoelekea golini kwenye mechi dhidi ya Arsenal

David De Gea akipambana vilivyo na Rahim Stering wa Liverpool

 David De Gea akisikitika baada ya kufungwa

David De Gea akiokoa mpira mbele ya Sergio Aguero wa Manchester City 

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii