VAN GAAL:MIPIRA MIREFU ITAIOKOA MAN UTD

Manchester United imeonekana ni timu inayopenda kutumia mipira mirefu baada ya droo ya 1-1 mbele ya West Ham katika uwanja wa Upton Park siku ya
jumapili. 

Caunter Mgaya ambaye aliangalia mpambano huo kuanzia mwanzo mpaka mwisho alikubali kuwa tatizo kubwa la Louis van Gaal’s ni mipango yake ya kutumia mipira mirefu.

 RECORD YA MAN UTD VS BURNLEY

Manchester Utd v Burnley

Wakati Manchester United wakimpointi Louis van Gaal katika kipindi cha kiangazi,lengo lao kubwa lilikuwa ni uzuri wa philosophi ya ufundishaji ya meneja huyo.Yeye ni kocha mzuri mwenye aidia nzuri na anarekodi ya mafanikio.
 Van Gaal’ ambaye alikuwa bosi wa Jose Mourinho mreno huyo wakati wakiwa Barcelona Mourinho akiwa msaidizi wake anathibitisha ubora wa Van Gaal akisema "Yupo vizuri"na prinzipo zake zinawasaidia wachezaji kujuana.

Sio kitu cha kushangaza sana kwa mashabiki wa Manchester united. Van Gaal’s Mholanzi aliifanya timu ya Taifa hilo kucheza zaidi ya mipira 100 mirefu kuliko timu nyingine yeyote ile katika kombe la dunia wakati wa kiangazi mwaka uliopita. Ndio maana walionekana wapo vizuri sana na kwa kila mchezo wa mashindano hayo walikuwa wanaondoka na asilimia 80. Na katika mchezo wa rubo fainali waliondoka na asilimia 65 mbele ya Costa Rica.
Allardyce akiwazungumzia wachezaji.


Daley Blind akishangilia goli alilofunga akitokea benchi, Marouane Fellaini ndiye aliyesababisha West Ham wafungwe.



Van Gaal akielezea uwezo wa timu.

By Caunter Mgaya Jr.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii