RATIBA YA LIGI KUU HISPANIA(LA LIGA) MAHASIMU WAWILI KUKUTANA...


Nyasi zitaendelea kuwaka moto wikendi hii katika ligi kuu Hispania baada ya mechi kadhaa ndani ya wiki hii kumalizika.

Mpambano ambao unatolewa macho na wadau wengi wa soka ni lile pambano la watani wa jadi Atletico de Madrid dhidi ya
Real Madrid siku ya jumamosi ambapo Ronaldo na Torres ndio wanaotazamiwa kubadili matokeo ikiwa ni pamoja na Real Madrid kupunguza uteja mbele ya Atletico.

Pia katika mechi hizo msimamo wa ligi hiyo unategemewa kubadilika.



Saturday, Feb 7 2015

15:00
Atletico MadridvsReal Madrid

17:00
VillarrealvsGranada

19:00
LevantevsMalaga

21:00
Real SociedadvsCelta Vigo
Sunday, Feb 8 2015

11:00
CordobavsAlmeria

16:00
GetafevsSevilla

18:00
EspanyolvsValencia

20:00
Athletic BilbaovsBarcelona







Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii