Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya TAIFA

AL AHLY USO KWA USO NA YANGA TAIFA

Picha
Yanga watakutana na Al Ahly uwanja wa taifa Dar es Salaam Klabu ya Young Africans itashuka dimbani kesho Jumamosi kucheza dhidi ya miamba wa Misri Al Ahly hatua ya 16 bora katika Ligi ya Mabingwa barani Afrika (CAF CL). Mechi hiyo itachezewa uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam kuanzia saa 10 kamili kwa saa za Afrika Mashariki.

SIMBA VS YANGA HAPATOSHI TAIFA LEO

Picha
WATANI wa jadi, Simba na Yanga SC wote walirejea jana Dar es Salaam kutoka kwenye kambi zao Zanzibar kuelekea pambano lao la leo. Miamba hiyo inatarajiwa kumenyana leo jioni Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara kuanzia Saa 10:00.