Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya CHELSEA

LAMPARD: TUNAHITAJI KOCHA MZOEFU

Picha
Frank Lampard ametwaa vikombe 106 huku akitupia mabao 29 ndani ya miaka 15 akiwa na timu yake ya taifa ya Uingereza

WILLIAN ASAINI MIAKA MINNE CHELSEA

Picha
Willian aendelea kutumikia maisha yake ya soka Chelsea Mshambuliaji wa Chelsea Willian amesaini mkataba wa miaka minne ili kuendelea kubakia Stamford Bridge.

CHELSEA YANASA KIFAA KIPYA EURO 2016

Picha
Chelsea imefanikiwa kumsajili Michy Batshuayi Michy Batshuayi amefanikiwa kujiunga na Chelsea baada ya kukamilika kwa vipimo vya afya huko Bordeaux, chanzo cha  Sky kimeripoti

USAJILI LIGI KUU ENGLAND 2016

Picha
Ilkay Gundogan amejiunga na Manchester City kwa £21m Je! wataka kujua timu yako imemsajili nani na nani katoka? Angalia hapa katika orodha ya timu za ligi kuu England kwa walio wasajili na walioondoka katika majira haya ya joto

MATOKEO EPL , ARSENAL YASIMAMISHWA!

Picha
  Weekend hii ligi kuu ya England imeendelea kwa nyasi kupata shida katika viwanja mbalimbali ikiwa ni pamoja na ile mechi ya mapema ya West Ham dhidi ya Arsenal iliyopigwa majira ya saa 8:45 mchana na mechi ya usiku majira ya saa 1:30 Man City dhidi ya

MECHI ZA LEO LIGI KUU ENGLAND

Picha
Nyasi za viwanja saba zitawaka moto katika mshike mshike wa ligi kuu ya England itayoendelea wikiendi hii. Wagonga wa nyundo wa London West ham, watakua wenyeji wa washika bunduki Arsenal, Aston Villa wanaoburuza mkia

MSIMAMO LIGI KUU UINGEREZA

Picha
MSIMAMO LIGI KUU UINGEREZA 

RATIBA LIGI KUU UINGEREZA WIKI HII

Picha
  Katika ligi kuu uingereza wiki hii mechi zitachezwa katika wiwanja mbalimbali na mechi kubwa ambayo inavuta hisia za wengi ni ile kati ya Tottenham Hotspur na Manchester city, lakini tukiachana na hiyo pia mashabiki wa soka leo wanatarajia kuona kama Leceister wataendeleza ubabe wao wa kuto kupoteza mechi kwani mpaka sasa ni wao pekee ambao hawajafungwa na wanashika nafasi ya 4 mbele ya mpinzani wao wa leo Arsenal ambaye anashika nafasi ya tano akiwa na pointi 10

CHELSEA KUMSAJILI BEKI WA BARCA

Picha
Chelsea wapo kwenye harakati za kumsajili beki  wa Barcelona Dani Alves ili kuweza kuboresha safu yao ya ulinzi,taarifa kutoka kwa vyombo vya habari vya Hispania.