USAJILI

MAN UTD TUMBO JOTO KWA MARTIAL



Anthony Martial could cost Manchester United £57.6m if 'very realistic' add-ons are met
Anthony Martial ataweza akaigharimu klabu ya Manchester United £57.6m kama malipo hayatafanyika mapema.

Makamu wa Rais wa Monaco Vadim Vasilyev ameitahadharisha Manchester United kwamba huenda ikawa ni mara tatu ya malipo ofa ya Anthony Martial ndani ya wiki
, na akathibitisha kuwa uhamisho wa mchezaji huyo unakaribia £58m.
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 19 kwa sasa amefunga mabao 11 katika michezo 49 wakati akiwa na Monaco, ameonekana kuwa mchezaji wa ghari mara baada ya kwenda Old Trafford akitokea Monaco katika siku ya mwisho ya dirisha la usajili ambapo ilibainishwa kuwa gharama yake ni £36m.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii