Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya LIVERPOOL

LIVERPOOL YAUA 5-0, NYOTA MPYA ATUPIA (PICHA)

Picha
Wachezaji wa Liverpool wakishangilia goli lao la kwanza ndani ya uwanja wa Highbury Stadium Marko Grujic amefunga goli wakati timu yake ya Liverpool ikishinda 5-0 dhadi ya Fleetwood katika mtanange wa kirafiki uliopigwa usiku wa kuamkia leo ikiwa ni moja ya maandalizi ya msimu ujao.

USAJILI LIGI KUU ENGLAND 2016

Picha
Ilkay Gundogan amejiunga na Manchester City kwa £21m Je! wataka kujua timu yako imemsajili nani na nani katoka? Angalia hapa katika orodha ya timu za ligi kuu England kwa walio wasajili na walioondoka katika majira haya ya joto

MANE KUJIUNGA NA LIVERPOOL RASMI

Picha
Sadio Mane anatarajiwa kufanyiwa vipimo vya afya kwaajili ya kujiunga na klabu ya vijogoo wa Anfield Liverpool,  ambapo gharama yake inasadikaka kuwa itakuwa kati ya £34m - hadi £36m akitokea Southampton.

MANE KUJIUNGA NA LIVERPOOL RASMI

Picha
Sadio Mane anatarajiwa kufanyiwa vipimo vya afya kwaajili ya kujiunga na klabu ya vijogoo wa Anfield Liverpool,  ambapo gharama yake inasadikaka kuwa itakuwa kati ya £34m - hadi £36m akitokea Southampton.

MATOKEO EPL WEEKEND HII, LEICESTER HAISHIKIKI, MAN YAPIGWA 3

Picha
Ligi kuu ya soka ya England imeendelea tena jumapili kwa michezo mitatu ,Sunderland wakicheza nyumbani dhidi ya vinara wa ligi Leicester city, waliambulia kipigo cha mabao 2-0, na kuwafanya leicester city kufikisha alama 72 katika Msimamo.

MECHI ZA LEO LIGI KUU ENGLAND

Picha
Nyasi za viwanja saba zitawaka moto katika mshike mshike wa ligi kuu ya England itayoendelea wikiendi hii. Wagonga wa nyundo wa London West ham, watakua wenyeji wa washika bunduki Arsenal, Aston Villa wanaoburuza mkia

MATOKEO MECHI ZA EUROPA

Picha
Mshambuliaji wa Liverpool Divock Origi akipachika bao safi mbele ya mabeki wa Dortimund Michezo minne ya robo fainali ya michuano ya Europa ligi imechezwa katika viwanja vinne tofauti. Liverpool wakiwa ugenini nchini Ujerumani walitoka sare ya 1-1 dhidi ya Borrusia Dortmund, Divock Origi aliwafungia Liverpool bao la kuongoza kabla ya beki wa Dortmund Mats Hummels kusawazisha.

RATIBA LIGI KUU UINGEREZA WIKI HII

Picha
  Katika ligi kuu uingereza wiki hii mechi zitachezwa katika wiwanja mbalimbali na mechi kubwa ambayo inavuta hisia za wengi ni ile kati ya Tottenham Hotspur na Manchester city, lakini tukiachana na hiyo pia mashabiki wa soka leo wanatarajia kuona kama Leceister wataendeleza ubabe wao wa kuto kupoteza mechi kwani mpaka sasa ni wao pekee ambao hawajafungwa na wanashika nafasi ya 4 mbele ya mpinzani wao wa leo Arsenal ambaye anashika nafasi ya tano akiwa na pointi 10