MANCHESTER YAKWEA HADI NAFASI YA TATU (EPL)

Rovin van Persie (L): Scored opening goal in comfortable win for Man Utd
Katika ligi kuu ya Uingerza (EPL): Manchester United imesogea hatua moja hadi nafasi ya tatu baada ya kuifunga 3-1 Leicester City.

Robin van Persie ndiye aliye kuwa wa
kwanza kufungua karamu ya magoli kabla ya mapumziko ambapo mnamo dakika ya 27 tu ya mchezo baada ya kuiunganisha pasi kutoka kwa Daley Blind na kumshinda mlinda mlango wa Leicestert Mark Schwarzer.
Rovin van Persie (L): Scored opening goal in comfortable win for Man Utd
Robin van Persie kulia: akimkumbatia Wayne Rooney baada ya kufunga bao la kwanza dk 27.

Kocha wa Manchester United Luis Van gaal akiwa anafanyiwa mahojiano na waadhishi wa habari.

 Blind akieleza namna ya mchezo ulivyo kuwa




Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii