Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya TOTTENHAM

TOTTENHAM YAMSAJILI VINCENT JANSSEN

Picha
  Tottenham imemsajili Vincent Janssen katika dili la miaka minne Tottenham imekamilisha usajili wa Vincent Janssen kutoka AZ Alkmaar katika mkataba wa miaka minne.

MATOKEO EPL WEEKEND HII, LEICESTER HAISHIKIKI, MAN YAPIGWA 3

Picha
Ligi kuu ya soka ya England imeendelea tena jumapili kwa michezo mitatu ,Sunderland wakicheza nyumbani dhidi ya vinara wa ligi Leicester city, waliambulia kipigo cha mabao 2-0, na kuwafanya leicester city kufikisha alama 72 katika Msimamo.

MECHI ZA LEO LIGI KUU ENGLAND

Picha
Nyasi za viwanja saba zitawaka moto katika mshike mshike wa ligi kuu ya England itayoendelea wikiendi hii. Wagonga wa nyundo wa London West ham, watakua wenyeji wa washika bunduki Arsenal, Aston Villa wanaoburuza mkia

RATIBA LIGI KUU UINGEREZA WIKI HII

Picha
  Katika ligi kuu uingereza wiki hii mechi zitachezwa katika wiwanja mbalimbali na mechi kubwa ambayo inavuta hisia za wengi ni ile kati ya Tottenham Hotspur na Manchester city, lakini tukiachana na hiyo pia mashabiki wa soka leo wanatarajia kuona kama Leceister wataendeleza ubabe wao wa kuto kupoteza mechi kwani mpaka sasa ni wao pekee ambao hawajafungwa na wanashika nafasi ya 4 mbele ya mpinzani wao wa leo Arsenal ambaye anashika nafasi ya tano akiwa na pointi 10