CLAUDE PUEL KOCHA MPYA SOUTHAMPTON
Claude Puel ametangazwa kuwa kocha mpya wa Southampton (picha na Southampton Football Club) Southampton wamethibitisha kumteua Claude Puel kuwa kocha wao mpya kwa mkataba wa miaka mitatu.