MANCHESTER UNITED YAMUACHIA FRETCHER-ASAINI WEST HAM

Darren Fletcher ameelekea West Ham kwa kile kilichodaiwa Mabosi wa pande zote mbili wamekubaliana.

Louis van Gaal aliweka wazi ijumaa kuwa Fletcher mwenye umri wa miaka 30 anafanya mazungumzo na
West ham, lakini baada ya ushindi wa 3-1 dhidi ya Leicester: akasema kuwa "Sielewi nini kilicho tokea kwani nimeambiwa tu kwamba Darren amekwisha kusaini West ham".
"Lakini kwa mara ya mwisho walikuwa wakiangalia upande wa pesa kabla ya makubaliano hivyo sielewi kilichotokea."
Van Gaal aliongeza kuwa "Kama unamruhusu mchezaji wako kwenda kufanya vipimo vya afya haina tatizo,kwani mpaka mwisho makubaliano yalikuwa bado."
West Ham wana lengo la kuwasajili Fletcher na Valencia kabla ya dirisha la usajili halija fungwa.
Fletcher alipata nafasi ya kuwa makamu wa kepteni mwanzoni mwa msimu lakini ameshindwa kuwa kwenye kikosi cha kwanza cha Van Gaal.
Dareen Fretcher akiwa amevalia jezi ya Manchester United 
 
Dareen Fretcher akiwania mpira kwenye moja ya mechi akiwa Manchester United


Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii