Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya UEFA

WADHAMINI WA UEFA WAKARABATI VIWANJA VITATU JIJINI DAR

Picha
Shirikishio la Soka Tanzania (TFF) limeishukuru kampuni ya bia ya Heineken ambao ni wadhamini wakuu wa michuano ya Ligi ya Mabingwa barani Ulaya (UEFA) kwa kujitolea kufanya ukarabati wa viwanja vitatu vya mpira wa miguu vilivyopo jijini Dar es Salaam.