IVORY COAST WATWAA MWANA MBUZI MABINGWA AFCON

Ivory Coast wamekuwa mabingwa wapya wa Kombe la Mataifa ya Afrika mwaka 2015 baada ya kufuinga Ghana kwa penalti 9 - 8 katika mchezo wa fainali ulichezwa katika uwanja wa Estadio de Bata huko Equatorial Guinea.
Mlinda Mlango wa Ivory Coast Boubacar Barry ambaye alikuwa hapangwi mara kwa mara lakini ndiye aliyeibeba Ivory Coast baada ya kudaka penati na kufunga penalti ya mwisho.

Kikosi cha Ivory Coast kilicho beba kombe usiku wa kuamkia leo.


Wachezaji wa Ivory Coast wakishangilia baada ya kuchukua kombe.


Mashabiki wakishangilia baada ya timu yao kushinda


Wachezaji wa Ivory Coast wakishangilia kwa kasi zaidi.

 
 Wachezaji wa Ivory Coast wakishangilia baada ya ushindi.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii