Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya UJERUMANI

MANCHESTER UNITED YAMSAJILI MKHITARYAN

Picha
Klabu ya Manchester United imemnunua kiungo wa kati raia wa Armenia aliyekuwa anayechezea klabu ya Borussia Dortmund ya Ujerumani, Henrikh Mkhitaryan. Mchezaji huyo wa umri wa miaka 27 amejiunga na United kwa bei ambayo haikufichuliwa.

UFARANSA YAIUA UJERUMANI 2-0 YATINGA FAINALI (PICHA)

Picha
Antoine Griezmann amezama wavuni mara mbili hivyo kuifanya ufaransa kutinga fainali katika michuano ya Euro 2016