ITALY YAILAZA SPAIN 2-0
Italy imeendelea kuonesha ubabe wake katika michuano ya Ulaya Euro 2016 baada ya kuonesha kiwango kizuria wakati wakiitandika Hispania hapo jana jumla ya mabao 2-0 mjini Paris na hivyo hatua ya robo fainali Italy watapepetana na Germany