RATIBA YA MECHI LIGI KUU UINGEREZA(EPL)

Hizo ndizo mechi za kesho na kesho kutwa katika ligi kuu ya England ambapo kwa namna moja ama nyingine wadau wa soka tunatarajia kubadilika kwa msimamo wa lig
i hiyo.

Cha zaidi katika mpambano ambao utavikutanisha vilabu vya Tottenham na Arsenal hali haitakuwa nzuri kwa mashabiki wa Arsenal ambao watamkosa winga matata Sansez Alex kwa anasumbuliwa na maumivu.

Pia katika mchezo wa kesho kati ya chelsea na Aston Villa, mashabiki wa chelsea watakuwa na hamu kubwa ya kumuona winga wao mpya aliyekamilisha usajili hivi karibuni akitokea Fiorentina Italia.

Saturday, Feb 7 2015

 4:45
TottenhamvsArsenal

6:00
Aston VillavsChelsea

6:00
LeicestervsCrystal Palace

6:00
Manchester CityvsHull

7:00
Queens Park RangersvsSouthampton

7:00
SwanseavsSunderland

8:30
EvertonvsLiverpool
Sunday, Feb 8 2015

4:00
BurnleyvsWest Bromwich Albion

6:05
Newcastle UnitedvsStoke

8:15
West HamvsManchester United

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii