HUYU NDIYE MKALI WA ARSENAL FEB 7 EPL


Harry Kane

 Kila mmoja kwa upande wake katika mpambano kati ya Tottenham na Arsenal anaweza kumpa mchezaji mmoja ambaye amemuona ni mchezaji bora katika mpambano huo; mimi bila shaka Harry Kane ndiye kinara wa leo na hapa nakuletea historia yake iliyojaa vituko kadha wa kadha.


Kwa jina kamili anaitwa Harry Kane, alizaliwa mjini England nchini Uingereza mnamo tarehe 28/07/1993 kazi yake kubwa ni soka na kwa sasa anachezea klabu ya Tottenham Hotspur inayoshiriki ligi kuu ya hapo hapo Uingereza akiwa anacheza nafasi ya ushambuliaji streka.

Uhamisho wa Harry Kane kwenda vilabu mbalimbali:

Tarehe 07/Jan 2011alitoka Tottenham akaelekea Leyton kwa mkopo wa mwaka mmoja.
 
Tarehe 01/Jan 2012 alitoka Tottenham akaelekea Millwall kwa mkopo wa nusu msimu.
 
Tarehe 01/sep 2012 alitoka Tottenham akaelekea Norwich kwa mkopo wa nusu msimu.

Tarehe 21/feb 2013 alitokaTottenham akaelekea Leicester kwa mkopo wa msimu na kwa sasa yupo nyumbani Tottenham
 
MASHINDANO ALIYO SHIRIKI HARRY KANE
 
MASHINDANO TIMU PLD G YC RC
Barclays Prem Tottenham 13 (6) 10 1 0
Capital One Cup Tottenham 4 (1) 3 0 0
 FA Cup Tottenham 0 (2) 0 0 0
U-21 mashindano England U21 2 (0) 1 0 0
Europa League Tottenham 4 (1) 5 0 0
U-21Kimataifa England U21 1 (0) 2 0 0
Europa League Qual Tottenham 2 (0) 2 0 0





 Harry akifunga goli safi mbele ya Terry wa chelsea na Oscar.

 Harry akishangilia baada ya kufunga bao



Harry akikontroo mpira uwanjani


Harry akifunga bao mbele ya mabeki wa Aston Villa

Caunter Jr

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii