MAGAZETI YA LEO JULAI 14, 2016 SOMA HAPA
Julai 14 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye, Udaku , Michezo na Siasa ili ujue kinachoendelea mtu wangu.. usiache kukaa karibu yangu kwenye facebook, twitter na instagram @ mgayacaunter ili niwe nakutumia kila kinachonifikia