Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya COSTA

MATOKEO MECHI ZA EUROPA

Picha
Mshambuliaji wa Liverpool Divock Origi akipachika bao safi mbele ya mabeki wa Dortimund Michezo minne ya robo fainali ya michuano ya Europa ligi imechezwa katika viwanja vinne tofauti. Liverpool wakiwa ugenini nchini Ujerumani walitoka sare ya 1-1 dhidi ya Borrusia Dortmund, Divock Origi aliwafungia Liverpool bao la kuongoza kabla ya beki wa Dortmund Mats Hummels kusawazisha.