LIVERPOOL: STERLING HAONDOKI



Meneja wa Liverpool Brendan Rodgers amekaliliwa akisema kuwa Raheem Sterling anamkataba mnono klabuni hapo na mataizo madogo madogo ya mkataba yatamalizika hivi
karibuni.

"Raheem Sterling hawezi kuondoka kwani bado anamkataba na matatizo yaliyojitokeza tutayamaliza hivi karibuni."
 Taarifa za kuhama Sterling Liverpool vimeibuka baada yaklabu za Real Madrid, Manchester city pamoja na PSG  kutangaza nia ya kutaka saini yake na tayari wamesha weka dau mezani.


 Raheem Sterling akiwa uwanjani.

 Rodgers akiwa ameshika na kuwaonesha mashabiki kauli mbiu ya klabu.


Rodgers akimpongeza Raheem Sterling baada ya kupachika bao
 

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii