FT: CHELSEA 1-1 MAN CITY

Ligi kuu Uingereza: Chelsea wanaendelea kushikilia pointi tatu mkononi baada ya sare ya 1-1 na  Manchester City wikendi hii.

 Chelsea wanabakia na pointi tatu mkononi katika msimamo wa ligi kuu Uingereza baada ya sare ya 1-1 na timu ya pili Manchester City katika uwanja wa Stamford Bridge.

Loic Remy aliiweka
kifua mbele Chelsea kabla ya mapumziko lakini dakika ya 45 kwa krosi iliyopigwa na Sergio Aguero ikamaliziwa na David Silva iliwafanya waende mapumziko kila mmoja akiwa na point moja.

 Loic Remmy akishangilia goli baada ya pasi safi aliyoipata kutoka kwa Eden Harzad dk 41

David Silva akiwa amenyanyuliwa juu na Sergio Aguero baada ya Kufunga Goli dk 45

 Sergio Aguero and Nemanja Matic battle for the ball
Sergio Aguero na Nemanja Matic wakiwania mpira


Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii