RONALDO APATA PACHA WAKE EURO
Christian Ronaldo ambaye alizua hofu kubwa katika michuano ya Mataifa ya Ulaya ali maarufu kama Euro kutokana na kiwango kibovu kilichokuwa kikioneshwa na timu yake ya Taifa ya Ureno ameibuka na kuwa midomoni mwa watu kutokana na kiwangokizuri alichokionesha usiku wa jana kwenye mpambano wao dhidi ya Hungary uliomalizika kwa timu hizo tutishana nguvu ya mabao 3-3.