Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya JAMES RODRIGUEZ

MJUE JAMES RODRIGUEZ

Picha
 Jina kamili anaitwa James Rodriguez akiwa na takribani miaka 24, alizaliwa Jul 12, 1991 katika mji wa   CĂșcuta nchini Colombia , urefu wake ni mita 1,80 m, kwa sasa ni mchezaji wa klabu ya Real Madrid inayoshiriki ligi kuu ya Hispania alimaarufu kama Laliga.Rodriguez alijiunga na klabu hiyo Jul 22, mwaka 2014 kwa ada ya uhamisho wa Euro 80m.

RODRIGUEZ AUMIA

Picha
Real Madrid imejawa na hfu juu ya uimara wa kiungo wao mshambuliaji James Rodriguez baada ya kiungo huyo kuumia kifundo cha mguu(enga) wakati akicheza mchezo wa kimataifa wa taifa lake la Colombia.