RATIBA LIGI KUU UINGEREZA MECHI ZA LEO NA KESHO HII HAPA

Baada ya kukamilika kwa raundi ya 24 hapo siku ya jumapili leo tena timu zinztimba dimbani kila mmoja akisaka pointi
tatu.

Katika mpambano wa leo ambapo takribani vilabu nane vitakuwa vinajitupa dimbani kupepetana kuanzia majira ya saa mbili kasoro,msimamo wa ligi pia unatarajiwa kubadilika kwani wengine watashuka na wengine watapanda.

Mitanange yote minne, mtanange ambao unasubiriwa kwa hamu kubwa na mashabiki wa soka ni ule wa Liverpool wakiwa nyumbani wakiwakaribisha Tottenham ambao katika mechi iliyopita waliwaonesha kazi Arsenal kwa kuwapa kipigo cha 2-1.


Jumanne, Feb 10 2015
 

19:45
SunderlandvsQueens Park Rangers

19:45
ArsenalvsLeicester

19:45
HullvsAston Villa

20:00
LiverpoolvsTottenham      
 
Wednesday, Feb 11 2015
 

19:45
ChelseavsEverton

19:45
StokevsManchester City

19:45
Manchester UnitedvsBurnley

19:45
SouthamptonvsWest Ham

20:00
Crystal PalacevsNewcastle United

20:00
West Bromwich AlbionvsSwansea


Leo hatumwi mtoto sokoni lazima pachimbike
 

Mafahali wawili wakutanapo nyasi ndo hupata shida

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii