DI MARIA AVAMIWA NYUMBANI KWAKE

 Kiungo wa kati wa Manchester United Angel Di Maria ndio mwathiriwa wa hivi karibuni wa wizi wa kutumia mabavu nyumbani kwake huko Cheshire Uingereza
.
Baadhi ya wahalifu walijaribu kuvunja mlango wa nyumba yake katika barabara ya Chelford huko Prestbury siku ya jumamosi jioni ,maafisa wa polisi wa Cheshire wamesema.
Hatahivyo mbiu ya mgambo ilipigwa kabla ya wezi hao kuingia ndani ya jumba hilo na kulazimika kutoroka.
Tukio hilo lilitokea baada ya Manchester United kuicharaza Leicester City mabao 3-1 katika uwanja wa Old Trafford.

 Di Maria akiwa na mpira

Di Maria akitaka kutoa pasi

 Di Maria baada ya timu yake kufungwa

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii