Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Agosti, 2015

PELLEGRIN ALAMBA DUME

Picha
Manuel Pellegrini akikamilisha usajili wa nyota mwingine wa Ulaya atakuwa ameongeza kukiimarisha kikosi chake kilichopo sasa.Tangu mwanzoni mwa msimu wa mwaka jana hadi sasa De Bruyne ametoa pasi za mwisho(20) zaidi ya

MAKUNDI YA UEFA HAYA HAPA!

Picha
  Makundi ya UEFA sasa haya hapa kila timu yajua mbaya wake mapemaaaaa... angalia timu yako iko kundi gani,lakini katika makundi hayo kundi D la timu za Man City na Juve ikiwa ni pamoja na lile kundi F la Bayern na Arsenal yameonekana kuleta gumzo.

MAN UTD YAPIGA 4-0, LVG AMPONGEZA ROONEY

Picha
  Louis van Gaal amemsifia Wayne Rooney kwa uwezo wake baada ya straika huyo kufunga hat-trick katika ushindi wa Manchester United wa 4-0 dhidi ya Club Brugge.

RATIBA LIGI KUU ENGLAND WIKI HII ONA HAPA

Picha
Katika wikiendi itakayofuata wiki hii ligi kuu nchini Uingereza nyasi za viwanja mbalimbali zitapata shida ambapo kila timu itajitupa uwanjani kutafuta ushindi.  Mchezo wa mapema siku hiyo utakuwa ule wa Newcastle United wakiwakaribisha washika mitutu wa London 'Arsenal', mchezo huu utachezwa majira ya saa 8:45 mchana siku ya jumamosi na unatarajiwa kuwa wa vuta nikuvute kutokana na ubora ambao

MSIMAMO LIGI KUU ENGLAND WIKI HII HUU HAPA

Picha
  Ni baada ya kila timu katika ligi kuu ya Uingereza kukamilisha michezo mitatu ambapo timu nyingi zilichuana wikendi na mchezo mmoja uliokuwa umebaki kumalizika jana usiku msimamo wa ligi hiyo umebadilika kwa sasa.

HUYU PEDRO WA MOURINHO NI SHIDAAAA......!!

Picha
Ni kwa siku nyingi wachambuzi wengi walikuwa wakijiuliza ni yupi mchezaji ndani ya Chelsea ambaye ataweza kuwasumbua mabeki zaidi ya Hazard!! jibu walikuwa hawalipati lakini kwa sasa jibu limepatikana kuwa chaguo la Mourinho ni sahihi (Pedro)

WENGER APANIKI...AKOSOA REFA (PICHA)

Picha
  Meneja wa Arsenal, Arsene Wenger amemkosoa Refa Michael Oliver kwa kukataa goli ambalo lilikuwa la muhimu kwao na kupelekea kudroo 0-0 dhidi ya Liverpool katika mchezo

VALENCIA,CELTIC NA SHAKTAR ZAFANYA KWELI UEFA

Picha
Valencia, Celtic na Shaktar zimeshinda kwenye Michezo ya mchujo kuwania tiketi ya kuingia hatua ya makundi katika michuano ya klabu bigwa Ulaya. Celtic wakicheza katika uwanja wao waliibuka na ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Malmö.

SIMBA YAPATA STRAIKA MPYA

Picha
Klabu ya Simba alimaarufu kama wekundu wa msimbazi wanatarajia kuleta kifaa kipya kutoka Senegal hivi karibuni.  Papa Niang anatarajia kujiunga na klabu hiyo baada ya siku mbili zijazo akiwa ni Straika mashuhuri kukipiga msimbazi.

BARCELONA YAPATA PIGO

Picha
Beki mashuhuri wa Barcelona Gerard Pique amefungiwa mechi nne baada ya kumtolea maneno machafu mwamuzi wa pembeni na kutolewa nje kwa kadi wakati wa mechi ya Kombe kuu la Hispania(Spanish Super Cup).

MAN UTD YAUA 3 UEFA

Picha
Memphis Depay ameonesha ubora wake hapo jana baada ya kuisaidia klabu yake ya Manchester united kuibuka kidedea cha mabao 3-1 dhidi ya Club Brugge huku yeyeakitupia jumala ya mabao mawili.

PEDRO HUYOOOO... CHELSEA

Picha
Chelsea wameipiku Man utd kwa kumnasa Pedro na hii leo yupo London kuungana na Chelsea, kwa mujibu wa chanzo cha Sky.

RATIBA LIGI KUU UINGEREZA (EPL)

Picha
Baada ya kumalizika kwa mechi za ufunguzi ndani ya ligi kuu ya England na sasa kinachofuata ni mechi ya pili ambapo mwishoni mwa wiki hii viwanja mbalimbali nyasizitawaka moto. Manchester United wikendi

EDIN DZEKO AJIUNGA NA ROMA

Picha
  Edin Dzeko amejiunga na Roma katika msimu huu kwa mkopo wa muda mrefu ikiwa ni mpango wa uhamisho wa kudumu kama baadhi ya mambo yatakaa vizuri Edin alijiunga na Man City

BARCELONA YA TWAA SUPERCUP

Picha
Mchezaji aliyeingia kutokea benchi Pedro Rodriguez aliifungia timu yake bao la ushindi katika dakika za nyongeza ambapo Barcelona walishinda kombe la Eefa Super Cup mchezo uliopigwa kwenye mji wa Tbilisi. Washindi wa kombe la Europa Sevilla

MOURINHO KUMFOKEA DAKTARI NI HAKI??????

Picha
Eva Carneiro amekuwa ni daktari pekee wa klabu ya Chelsea tangu mwaka 201. Daktari huyo wa Chelsea Eva Carneiro alifokewa na kocha Jose Mourinho kwenye benchi la ufundi siku ya mechi dhidi ya Swansea.

CHELSEA YANASA BEKI KINDA

Picha
Baba Rahman muda mfupi uliopita amekubali yeye mwenyewe kujiunga na mabingwa watetezi wa EPL Chelsea. Chelsea imekamilisha makubaliano na klabu ya Augsburg kuhusiana na dau la uhamisho wa beki wa kushoto Baba Rahman, Sky wameripoti.

MSIMAMO WA EPL HUU HAPA

Picha
Kwa sasa baada ya kila timu kucheza mechi moja ya ufunguzi katika ligi kuu ya Uingereza EPL msimamo wa ligi hiyo umebadilika kutokana na matokeo ya mchezo wa usiku wa kuamkia leo ambapo Man City wameweza kuibuk kidedea cha jumla ya mabao 3-0 dhidi ya wenyeji wao West brom Albion

MAN CITY YAPAA KILELENI EPL

Picha
Klabu ya Manchester City imefanikiwa kunyakua point tatu hii usiku wa leo baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya West Brom Albion.  Manchester City ikiwa na nyota wake wote

RATIBA LIGI KUU BARA YAPIGWA PENATI

Picha
  Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania (VPL) itaanza Sept 12 badala ya Agosti 22 ili kumpa Charles Mkwasa fursa ya kuendelea na program yake kuelekea mechi ya Taifa Stars vs Nigeria itakayochezwa Sept 5. Mechi ya Ngao ya Jamii (Community Shield) itakayozikutanisha Azam FC dhidi ya Yanga SC sasa itachezwa Agosti 22 badala ya Agosti 15. Ratiba ya Ligi Kuu iliyokuwa imeandaliwa, sasa inafanyiwa marekebisho kwa ajili ya tarehe mpya ya kuanza, ambapo pamoja na mambo mengine mechi sasa zitachezwa wikiendi na katikati ya wiki na wikiendi ya Oct 25 hakutakuwa na mechi kupisha Uchaguzi Mkuu wa Rais na Wabunge. Klabu za Ligi Kuu zimeandikiwa barua kujulishwa tarehe mpya ya kuanza Ligi, na dirisha la usajili linabaki kama lilivyo. Wamiliki wa viwanja vyenye upungufu wmeandikiwa barua kutakiwa kurekebisha upungufu katika muda maalumu, vinginevyo havitaruhusiwa kutumika kwa ajili ya PL na FDL.

BAYERN WATWAA KOMBE, MADRID CHALI

Picha
Miamba ya soka la Ujerumani Bayern Munich wametwaa ubingwa wa michuano ya Audi mwaka 2015. Bayern wakicheza katika uwanja wao Allianz Arena Jijini Munich, wameibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya klabu ya Real Madrid

CHELSEA YAAMBULIA KICHAPO TENA

Picha
 Klabu ya soka ya Fiorentiana ya Italia imewachapa mabingwa wa ligi ya England Chelsea kwa bao 1-0. Bao pekee la ushindi la Fiorentina ama maarufu kama Viola liliwekwa kimiani na beki Gonzalo Rodríguez

DI MARIA NI PSG RASMI

Picha
Winga wa timu ya taifa ya Argentina Angel Di maria amefurahishwa na uhamisho wake toka Manchester United na kujiunga na matajiri wa Psg. Nyota huyu mwenye umri wa miaka 27 alifanyiwa vipimo vya afya huko Qatar na kukamilisha uhamisho wake uliogharimu kiasi cha pauni milioni 44.3.