SIMBA YAPATA STRAIKA MPYA

Klabu ya Simba alimaarufu kama wekundu wa msimbazi wanatarajia kuleta kifaa kipya kutoka Senegal hivi karibuni.
 Papa Niang anatarajia kujiunga na klabu hiyo baada ya siku mbili zijazo akiwa ni Straika mashuhuri kukipiga msimbazi.

Msenegal huyo alikuwa akikipiga katika klabu ya FC Monana ya Gabon ambapo kabla ya kujiunga na klabu hiyo alitokea katika klabu ya Al Shaabab ya Kuwait ambayo ni maarufu huko Ghuba ya Uajemi.
Papa Niang alizaliwa mnamo mwaka 1988 desemba 5 na kwa sasa ana umri wa miaka 26.
Endapo Simba itafanikiwa kunasa saini ya straika huyu watakuwa wamezidi kubaresha katika nafasi ya ushambuliaji.

   

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii