CHELSEA YANASA BEKI KINDA

Baba Rahman muda mfupi uliopita amekubali yeye mwenyewe kujiunga na mabingwa watetezi wa EPL Chelsea.
Chelsea imekamilisha makubaliano na klabu ya Augsburg kuhusiana na dau la uhamisho wa beki wa kushoto Baba Rahman, Sky wameripoti.
Kijana huyo mwenye umri wamiaka 21kwa sasa alikuwa akihitajika na Chelsea takribani wiki kadhaa zilizopita huku tatizo likiwa ni makubaliano ya ada ya uhamisho ambayo ni £20m. Hivyo Chelsea wamefanikiwa kumsajili kwa Euro 17m tu.
Maoni
Chapisha Maoni