EDIN DZEKO AJIUNGA NA ROMA

 Edin Dzeko amejiunga na Roma katika msimu huu kwa mkopo wa muda mrefu ikiwa ni mpango wa uhamisho wa kudumu kama baadhi ya mambo yatakaa vizuri

Edin alijiunga na Man City Januari 2011 ambapo ameweza kucheza jumla ya mechi 189 katika msimu wake wa miaka minne na nusu aliyokaa.
Akiwa na timu hiyoameweza kuifungia baadhi ya magoli muhimu ikiwa ni pamoja na goli alilosawazisha dhidi ya Notts County kombe la FA ambapo alimfanya Roberto Mancini kunyanyua kombe kwa kuifunga 1-0 Stoke katika fainali, ilikuwa ni mara ya kwanza kwa Man City kutwaa kombe kwa takribani miaka 35.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii