BARCELONA YAPATA PIGO

Pique mwenye umri wa miaka 28 amepewa adhabu hiyo kutokana na kosa alilolifanya siku ya juma tatu dhidi ya Athletic Bilbao mapema kipindi cha kwanza.

Barcelona walilazimishwa sare ya 1-1 lakini wakazidiwa kwa uwiano wa magoli 5-1 kutokana na mechi ya kwanza.
Klabu hiyo bado haijaonesha kukata rufaa kutokana na kufungiwa kwa mchezaji huyo.
Barcelona jumapili wataanza ligi huku wakipambana tena na Bilbao katika La Liga, katika mpambano huo Pique ataukosa ikiwa ni pamoja na ule wa tar 2/9 dhidi ya Atletico Madrid.
Maoni
Chapisha Maoni