PEDRO HUYOOOO... CHELSEA

Chelsea wameipiku Man utd kwa kumnasa Pedro na hii leo yupo London kuungana na Chelsea, kwa mujibu wa chanzo cha Sky.Winga huyo wa Barcelona amenaswa na vyombo mbalimbali vya habari akiwa London kukamilisha dili hilo la UERO £21.1m . 
Msemaji wa La Liga Guillem Balague amesema makubaliano hayo dhidi ya Chelsea na Barca yalianza tangu Jumanne na kwa sasa mambo yapo vizuri.
Mabingwa hao wa Premier League wamekuwa wakionesha nia na mchezaji huyu kwa zaidi ya wiki moja iliyopita. 

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii