WENGER APANIKI...AKOSOA REFA (PICHA)


 
Meneja wa Arsenal, Arsene Wenger amemkosoa Refa Michael Oliver kwa kukataa goli ambalo lilikuwa la muhimu kwao na kupelekea kudroo 0-0 dhidi ya Liverpool katika mchezo uliopigwa uwanja wa Arsenal Emirates.
Mfaransa huyo ameisifia Arsenal kuwa ulikuwa vizuri lakini alionekana kuchukizwa na kukataliwa kwa goli la mapema lililofungwa na Aron Ramsey's kwa kuwa ilikuwa ni offside.
Arsenal wamefungwa mechi tano kati ya mechi mechi sita za ligi walizocheza nyumbani.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii