MOURINHO KUMFOKEA DAKTARI NI HAKI??????

Eva Carneiro became Chelsea's first-team doctor in 2011

Eva Carneiro amekuwa ni daktari pekee wa klabu ya Chelsea tangu mwaka 201.
Daktari huyo wa Chelsea Eva Carneiro alifokewa na kocha Jose Mourinho kwenye benchi la ufundi siku ya mechi dhidi ya Swansea.
Chanzo cha SKY kilibainisha.
 Siku ya jumamosi Daktari huyo baada ya kumtibu Eden Hazard uwanjani kwa kuchelewa ambapo timu hiyo ililazimishwa droo ya 2-2 wakiwa nyumbani dhidi ya Swansea katika mchezo wa ligi kuu. Kitendo hicho kilipelekea Hazard kutolewa nje ili akatibiwe vizuri.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii