RATIBA LIGI KUU ENGLAND WIKI HII ONA HAPA

Katika wikiendi itakayofuata wiki hii ligi kuu nchini Uingereza nyasi za viwanja mbalimbali zitapata shida ambapo kila timu itajitupa uwanjani kutafuta ushindi. 
Mchezo wa mapema siku hiyo utakuwa ule wa Newcastle United wakiwakaribisha washika mitutu wa London 'Arsenal', mchezo huu utachezwa majira ya saa 8:45 mchana siku ya jumamosi na unatarajiwa kuwa wa vuta nikuvute kutokana na ubora ambao
Newcastle inao kwa sasa; huku ikikumbukwa kuwa katika michezo yao iliyopita kila timu ilitoka suluhu ya bila kufungana(Newcastle wakiwa na Manchester na Arsenal na Liver).
 Wanamichezo tutakamilisha furaha yetu ya kushuhudia kinacho tokea siku ya Juma pili ambapo Southampton watawakaribisha Norwich na Swansea wakiwa nyumbani watavaana na mashetani wekundu Manchester United


Saturday, Aug 29 2015
12:45Newcastle UnitedvsArsenal
15:00StokevsWest Bromwich Albion
15:00Manchester CityvsWatford
15:00LiverpoolvsWest Ham
15:00ChelseavsCrystal Palace
15:00BournemouthvsLeicester
15:00Aston VillavsSunderland
17:30TottenhamvsEverton
Sunday, Aug 30 2015
13:30SouthamptonvsNorwich
16:00SwanseavsManchester United

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii