RATIBA LIGI KUU UINGEREZA (EPL)

Baada ya kumalizika kwa mechi za ufunguzi ndani ya ligi kuu ya England na sasa kinachofuata ni mechi ya pili ambapo mwishoni mwa wiki hii viwanja mbalimbali nyasizitawaka moto. Manchester United wikendi
hii watakuwa ugenini kupambana na Astoni Villa siku ya ijumaa. Mechi kubwa inayosubiliwa na wengi ni ile ya Man City na Chelsea ambapo wapinzani hawa watamenyana katika uwanja wa ETIHAD



Friday, Aug 14 2015

19:45


Saturday, Aug 15 2015

12:45



15:00



15:00



15:00



15:00



15:00


Sunday, Aug 16 2015

13:30



16:00


Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii