BAYERN WATWAA KOMBE, MADRID CHALI
Bayern
wakicheza katika uwanja wao Allianz Arena Jijini Munich, wameibuka na
ushindi wa bao 1-0 dhidi ya klabu ya Real Madrid
ya Hispania.
Katika
mchezo wa kumsaka mshindi wa tatu Tottenham Hotspur waliwachapa AC
Milan kwa mabao 2-0 kwa mabao ya Nacer Chadli, Dakika ya 8, na Thomas
Carroll, Dakika ya 71.
Maoni
Chapisha Maoni