MSIMAMO WA EPL HUU HAPA

Kwa sasa baada ya kila timu kucheza mechi moja ya ufunguzi katika ligi kuu ya Uingereza EPL msimamo wa ligi hiyo umebadilika kutokana na matokeo ya mchezo wa usiku wa kuamkia leo ambapo Man City wameweza kuibuk kidedea cha jumla ya mabao 3-0 dhidi ya wenyeji wao West brom Albion
.
Hivyo msimamo wa EPL kwa sasa katika timu tatu za juu ni Man city inaongoza ikifuatiwa na Leicester city katika nafasi ya pili na Crystal Palace nafasi ya tatu ,wote point ni sawa lakini wanazidiana magoli ya kufunga na kufungwa.
Kwa upande wa timu tatu za mkiani ni West Brom Albion, Arsenal pamoja na Norwich city wote wakiwa hawana hata goli moja lakini tofauti yao ni idadi ya magoli waliyofungwa'

1.Manchester City
2.Leicester City
3.Crystal Palace
4.West Ham United
5.Aston Villa
6.Liverpool
7.Manchester United
8.Chelsea
9.Everton
10.Newcastle United
11.Southampton
12.Swansea City
13.Watford
14.AFC Bournemouth
15.Stoke City
16.Totenham
17,Sunderland
18.Norwich
19.Arsenal
20,West Bromwich albion

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii