MSIMAMO LIGI KUU ENGLAND WIKI HII HUU HAPA

 Ni baada ya kila timu katika ligi kuu ya Uingereza kukamilisha michezo mitatu ambapo timu nyingi zilichuana wikendi na mchezo mmoja uliokuwa umebaki kumalizika jana usiku msimamo wa ligi hiyo umebadilika kwa sasa.
Timu ambazo zilikuwa kileleni kabla ya mechi hizo kwa sasa zimeshuka baada ya kuambulia sare na ushindi wa tatu mfululizo wa Manchester City unawapeleka hadi kileleni wakiwa na pointi 9 tofauti ya pointi 2 na timu tatu zinazofuatia.
Raundi ya tatu imemalizika huku mchezo mkali uliokuwa ukisubiliwa na mashabiki wengi wa soka ukiwa ni ule wa jana kati ya Arsenal na Liverpool ambapo ulimalizika kwa droo ya 0-0.
West Brom Albioni baada ya kufungwa na Chelsea 3-2 wanaendelea kuning'inia mkiani wakiwa na pointi 1




R Team P W D L GF GA GD Pts
1Manchester City330080+89
2Leicester321074+37
3Liverpool321020+27
4Manchester United321020+27
5Crystal Palace320164+26
6Swansea312053+25
7Everton311154+14
8Norwich31115504
9Arsenal311123-14
10Chelsea311157-24
11West Ham31026603
12Watford30302203
13Bournemouth310245-13
14Aston Villa310223-13
15Tottenham302134-12
16Stoke302134-12
17Newcastle United302124-22
18Southampton302125-32
19Sunderland301248-41
20West Bromwich Albion301226-41

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii