HUYU PEDRO WA MOURINHO NI SHIDAAAA......!!

Bila shaka kwa sasa mashabiki wa Chelsea wanauona umuhimu wa Pedro kuanzia kulinda hadi kushambulia, kitu hicho kilimchanganya sana Mourinho wakati wa mechi dhidi ya West brom ambapo wakati akifikilia kumpumuzisha ghafla Terry akapewa Kadi nyekundu hivyo ikamlazimu kumtoa Willian badala ya Pedro na kumuingiza cahil, hiyo ilionesha ni kwa kiasi gani alimwamini Pedro kuliko Willian kwa kushambulia na kurudi kukaba.

Hivyo mara baada ya kumalizika kwa mchezo Pedro alikuwa mchezaji bora wa siku na kupewa zawadi.
Maoni
Chapisha Maoni