DI MARIA NI PSG RASMI
Winga wa timu ya taifa ya Argentina
Angel Di maria amefurahishwa na uhamisho wake toka Manchester United na
kujiunga na matajiri wa Psg.
Nyota huyu mwenye umri wa miaka 27
alifanyiwa vipimo vya afya huko Qatar na kukamilisha uhamisho wake
uliogharimu kiasi cha pauni milioni 44.3.

Di Maria alijiunga na mashetani wekundu msimu uliopita akitokea Real Madrid ambapo alicheza michezo 32 na kufunga mabao 4.
Maoni
Chapisha Maoni