PELLEGRIN ALAMBA DUME

Manuel Pellegrini akikamilisha usajili wa nyota mwingine wa Ulaya atakuwa ameongeza kukiimarisha kikosi chake kilichopo sasa.Tangu mwanzoni mwa msimu wa mwaka jana hadi sasa De Bruyne ametoa pasi za mwisho(20) zaidi ya
mchezaji mwingine yeyote wa katika ligi kubwa 5 za Ulaya. Ni Dimitri Payet pekee aliyepiga pasi (140) za muhimu zaidi ya Mbelgium huyo ambaye amepiga pasi (113) ni pasi kumi zaidi ya mchezaji watakae cheza pamoja David Silva aliyepiga pasi(103). As such, many may consider De Bruyne to be the final piece needed for Pellegrini to complete his City jigsaw. 
Team Focus: Is De Bruyne a Necessity for Manchester City?

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii