Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Julai, 2016

DEAL DONE DIRISHA LA USAJILI ENGLAND(KILA KLABU HAPA)

Picha
Zlatan Ibrahimovic signs for Manchester United Who has your team signed? Who's been shipped out? Check below for a comprehensive list of all the Premier League ins and outs as clubs prepare for the 2016/17 season. Follow our online Transfer Centre from 7am to 11pm each day for the latest transfer news and gossip

MAN CITY YACHAPWA NA BAYERN 1-0

Picha
Manchester City, wakicheza mechi yao ya kwanza ya kujiandaa kwa msimu mpya chini ya meneja mpya Pep Guardiola, wamechapwa bao moja kwa bila na klabu ya zamani ya meneja huyo Bayern Munich.

SOMA HAPA MAGAZETI YA LEO 21/7/2016

Picha
Julai 21 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenye  Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye, Udaku ,  Michezo na siasa ili ujue kinachoendelea mtu wangu.. usiache kukaa karibu yangu kwenye facebook, twitter na instagram @ mgayacaunter ili niwe nakutumia kila kinachonifikia.

SAM ALLARDYCE KUPEWA ENDLAND

Picha
Meneja wa sasa wa klabu ya Sunderland Sam Allardyce anatarajiwa kuthibitishwa kuwa Meneja mpya wa Timu ya Taifa ya England . Bodi ya Chama cha Soka England, kitakaa kumpitisha kama Meneja wao mpya kuchukua nafasi ya Roy Hodgson aliemaliza Mkataba wake

MCHEZO WA KIRAFIKI WA SERENGETI BOYS WAFUTWA

Picha
  Serengeti Boys bado wataingia kambini Jumapili Timu ya Vijana ya Kenya imefuta ziara yake ya kwenda Dar es Salaam kwa ajili kucheza mchezo wa kirafiki wa kimataifa dhidi ya vijana wa Tanzania wenye umri wa chini ya miaka 17 maarufu kwa jina la Serengeti Boys.

MADEAMA WATUA DAR KUVAANA NA YANGA

Picha
Yanga watakutana na Medeama Jumamosi saa kumi jioni Wapinzani wa klabu ya Young Africans, katika michuano ya kuwania Kombe la Shirikisho Barani Afrika, Medeama kutoka Ghana, wametua Dar es Salaam tayari kwa mechi baina ya timu hizo Jumamosi.

VICTORIA AZARENKA NI MJAMZITO

Picha
Azarenka anatarajia kujifungua mwishoni mwa mwaka huu Mshindi mara mbili wa mashindano ya Australian Open Victoria Azarenka has amefichua kwamba ana mimba. Rais huyo wa Belarus mwenye umri wa miaka 26 amesema anapanga kurejea katika uchezaji baada ya kujifungua mwishoni mwa mwaka huu

SHEVCHENKO ATEULIWA MENEJA UKRAINE

Picha
Ukraine imemteua mshambuliaji wa zamani wa AC Milan na Chelsea Andriy Shevchenko kuwa meneja mpya wa timu ya taifa. Shevchenko, 39, aliyechezea timu ya taifa mara 111, atajaza nafasi ya Mykhaylo Fomenko, aliyeondoka baada ya taifa hilo kuondolewa michuano ya Euro 2016 katika hatua ya makundi.

MAGAZETI YA LEO JULAI 16, 2016 SOMA HAPA

Picha
July 16 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenye  Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye, Udaku ,  Michezo na siasa ili ujue kinachoendelea mtu wangu.. usiache kukaa karibu yangu kwenye facebook, twitter na instagram @ mgayacaunter ili niwe nakutumia kila kinachonifikia

MAN UTD YA TANO UTAJIRI DUNIANI

Picha
Klabu ya Manchester United imeorodheshwa ya tano kwa utajiri duniani na jarida la Forbes, thamani yao ikiwa imepanda kwa asilimia saba. Klabu ya NFL, Dallas Cowboys, ndiyo inayoongoza thamani yake ikiwa $4bn (£3.03bn), na ni mara ya kwanza kwa klabu ambayo haichezi kandanda kuongoza katika orodha hiyo tangu kuanzishwa kwake 2011

TANZANIA NA KENYA ZAPANDA VIWANGO FIFA

Picha
  Kenya imepanda hatua 43 katika orodha ya hivi punde zaidi ya shirikisho la soka duniani FIFA Kenya imepanda hatua 43 katika orodha ya hivi punde zaidi ya shirikisho la soka duniani FIFA na kuorodheshwa katika nafasi ya 86 duniani

IBRAHIMOVIC KUACHWA NA MAN UTD ZIARANI

Picha
Ibrahimovic alijiunga na United mwezi Juni Meneja mpya wa klabu ya Manchester United Jose Mourinho anapanga kutosafiri na mshambuliaji mpya wa klabu hiyo Zlatan Ibrahimovic Uchina.

BALOTELLI KUTAFUTA TIMU NYINGINE

Picha
  Balotelli alikaa AC Milan msimu uliopita Meneja wa Liverpool Jurgen Klopp amesema mshambuliaji Mwitaliano Mario Balotelli anafaa kutafuta klabu mpya. Balotelli, 25, alikaa AC Milan kwa mkopo msimu uliopita lakini amerejea Liverpool kwa mazoezi ya kabla ya msimu

MAGAZETI YA LEO JULAI 14, 2016 SOMA HAPA

Picha
Julai 14 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenye  Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye, Udaku ,  Michezo na Siasa ili ujue kinachoendelea mtu wangu.. usiache kukaa karibu yangu kwenye facebook, twitter na instagram @ mgayacaunter ili niwe nakutumia kila kinachonifikia

LAMPARD: TUNAHITAJI KOCHA MZOEFU

Picha
Frank Lampard ametwaa vikombe 106 huku akitupia mabao 29 ndani ya miaka 15 akiwa na timu yake ya taifa ya Uingereza

SAM ALLARDYCE KUWANIA UKOCHA ENGLAND

Picha
Bossi wa Sunderland Sam Allardyce anafanyiwa mahojiano kwaajili ya kuwa kocha wa Uingereza Sunderland wame shtushwa baada ya Sam Allardyce kusikia kuwa anafanya mahojiano ili kuwa kocha wa timu ya taifa ya Uingereza akiwa nyumbani kwa mwenyekiti msaidizi wa chama cha soka cha Uingereza FA,  David Gill jumanne hii.

LIVERPOOL YAUA 5-0, NYOTA MPYA ATUPIA (PICHA)

Picha
Wachezaji wa Liverpool wakishangilia goli lao la kwanza ndani ya uwanja wa Highbury Stadium Marko Grujic amefunga goli wakati timu yake ya Liverpool ikishinda 5-0 dhadi ya Fleetwood katika mtanange wa kirafiki uliopigwa usiku wa kuamkia leo ikiwa ni moja ya maandalizi ya msimu ujao.

MPUNGA MREFU US OPEN

Picha
  Fedha zilizotengwa kwa zawadi ni dola milioni 46. Malipo ya juu kabisa katika historia ya mchezo wa tennis yanatarajiwa kutolewa katika michuano ya wazi ya tennisi ya Marekani mwaka huu.

TOTTENHAM YAMSAJILI VINCENT JANSSEN

Picha
  Tottenham imemsajili Vincent Janssen katika dili la miaka minne Tottenham imekamilisha usajili wa Vincent Janssen kutoka AZ Alkmaar katika mkataba wa miaka minne.

WILLIAN ASAINI MIAKA MINNE CHELSEA

Picha
Willian aendelea kutumikia maisha yake ya soka Chelsea Mshambuliaji wa Chelsea Willian amesaini mkataba wa miaka minne ili kuendelea kubakia Stamford Bridge.

MAGAZETI YA LEO JULAI 13, 2016 SOMA HAPA

Picha
Julai 13 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenye  Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye, Udaku ,  Michezo na siasa ili ujue kinachoendelea mtu wangu.. usiache kukaa karibu yangu kwenye facebook, twitter na instagram @ cauntermgaya ili niwe nakutumia kila kinachonifikia

RAIS WA URENO AWAPOKEA KIFALME WACHEZAJI

Picha
Maelfu ya mashabiki wa timu hiyo walikusanyika katika uwanja wa ndege

TETESI ZA USAJILI ULAYA

Picha
  Juan Mata aliondoka Chelsea Mourinho alipowasili Chama cha soka cha England, FA, kitazungumza na meneja wa Hull City Steve Bruce, wakati wakiendelea na harakati za kutafuta meneja mpya wa England (Daily Telegraph), uhamisho wa Graziano Pelle kutoka Southampton kwenda Shandong Luneng ya China kunamfanya mshambuliaji huyo, 30, kuwa mchezaji wa sita anayelipwa zaidi duniani akipata pauni 260,000 kwa wiki (Sun)

MANCHESTER UNITED YAWATEMA NYOTA WAWILI(PICHA)

Picha
Guillermo Varela hayupo kwenye mipango ya Jose Mourinho Old Trafford Tyler Blackett na Guillermo Varela wapo tayali kwa kuuzwa na Manchester United baada ya Jose Mourinho kusema hawana mchango wowote pale Old Trafford

ANDY MURRAY ATWAA UBINGA WIMBLEDON

Picha
Andy Murray has warned his rivals that his best tennis is yet to come as he sets his sights on following up his second Wimbledon crown with more Grand Slam glory. The Briton outclassed Canadian powerhouse Milos Raonic with an imperious 6-4 7-6 (7-3) 7-6 (7-2) victory in Sunday's final on Centre Court

MAGAZETI YA LEO JULAI 11, 2016 SOMA HAPA

Picha
Juli 11, 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenye  Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye, Udaku ,  Michezo na siasa ili ujue kinachoendelea mtu wangu.. usiache kukaa karibu yangu kwenye facebook, twitter na instagram @ mgayacaunter ili niwe nakutumia kila kinachonifikia.

URENO MABINGWA EURO 2016 WAICHAPA UFARANSA 1-0 (PICHA)

Picha
Licha ya Cristiano Ronaldo kutolewa nje kwa baada ya kuumia lakini Ureno wamechukua kombe. Ureno wametwaa ndoo ya Euro 2016 baada ya mchezaji wa akiba Eder kuingia na kuwapatia goli katoka dakika za nyongeza na hivyo kufanya matokeo kuwa 1-0 dhidi ya wenyeji Ufaransa

FAINALI EURO URENO VS UFARANSA - NYASI KUWAKA MOTO LEO (PICHA)

Picha
Ufaransa watakutana hii leo jumapili usiku na Ureno katika mpambano mkali wa fainali ya Euro 2016 ambapo Ufaransa inatarajia kushinda katika uwanja wa nyumbani na itakuwa kwao ni mara ya pili.

RONALDO: NA KUSTAAFU SOKA

Picha
Mshambuliaji wa Ureno Cristiano Ronaldo akiongea na kocha wake Fernando Santos Kocha mkuuwa Ureno Fernando Santos amekanusha madai ya kwamba fainali ya Euro ambayo watakutanaleona Ufaransa kuwa utakuwa nimtanange wa mwisho kwa nyota Cristiano Ronaldo kuitumikia timu ya taifa.

POGBA AWAPOKONYOKA MAN UTD

Picha
Klabu ya Manchester United inam'mezea mate Paul Pogba lakini hakuna mpango wowote wa kuonyesha kuna mazungumzo ya kumsajili mchezaji huyo yameanza.

MAGAZETI YA LEO JULAI 9, 2016 SOMA HAPA

Picha
July 9 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenye  Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye, Udaku ,  Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu.. usiache kukaa karibu yangu kwenye facebook, twitter na instagram @mgayacaunterili niwe nakutumia kila kinachonifikia.

KLOPP ASAINI MIAKA 6 LIVERPOOL

Picha
Mkufunzi wa Liverpool Jurgen Klopp ameweka kandarasi mpya ya miaka sita na mmiliki wa klabu hiyo akisema ingekuwa makosa kutompatia kandarasi ndefu.

FAINALI EURO URENO VS UFARANSA MAFAHARI WAWILI KUKUTANA

Picha
 MECHI 6 ZA URENO ZILIZOPITA 30/06/2016 Robo fainali 1 - 1 v Poland (a)

LEICESTER YAMSAJILI MNIGERIA

Picha
Klabu ya Leicester City imemsajili mshambuliaji wa Nigeria Ahmed Musa kutoka CSKA Moscow kwa kandarasi ya miaka 4 itakayogharimu pauni milioni 16.

GUARDIOLA NA TIKI-TAKA UINGEREZA

Picha
Mkufunzi mpya wa Manchester City Pep Guardiola anasema kuwa alienda nchini Uingereza kuthibitisha kuwa inawezekana kucheza mchezo mzuri katika ligi ya Uingereza.

USAJILI WA KWANZA KWA ARSENAL NI TAKUMA

Picha
Arsenal wamekubali kumsajili mshambulizi chipukizi kutoka Japan Takuma Asano. Mshambulizi huyo mwenye umri wa miaka 21 amejiunga na the Gunners akitokea klabu ya nyumbani ya Sanfrecce Hiroshima.

MANCHESTER UNITED YAMSAJILI MKHITARYAN

Picha
Klabu ya Manchester United imemnunua kiungo wa kati raia wa Armenia aliyekuwa anayechezea klabu ya Borussia Dortmund ya Ujerumani, Henrikh Mkhitaryan. Mchezaji huyo wa umri wa miaka 27 amejiunga na United kwa bei ambayo haikufichuliwa.

MAGAZETI YA LEO JULAI 8, 2016 SOMA HAPA

Picha
Magazeti ya Tanzania ya leo July 8, 2016 Kwenye, Siasa,Udaku, burudani na michezo

UFARANSA YAIUA UJERUMANI 2-0 YATINGA FAINALI (PICHA)

Picha
Antoine Griezmann amezama wavuni mara mbili hivyo kuifanya ufaransa kutinga fainali katika michuano ya Euro 2016

MANCHESTER UNITED YALAMBA BONGE LA BEKI (PICHA)

Picha
Eric Bailly ni nani? Ni usajili mpya wa Jose Mourinho akiwa Manchester United Anaharaka, mjuzi, ananguvu na ni mzuri akiwa na mpira, Bailly amekidhi vigezo vyote vya beki katika kikosi cha Jose Mourinho .

UFARANSA YAISAMBARATISHA ICELAND

Picha
  Dimitri Payet akibusu kiatu cha Antonie Griezmann baada ya kufunga bao  Ufaransa imefanikiwa kusonga mbele katika hatua ya nusu fainali baada ya kuipa kichapo cha bao 5-2 timu ya Iceland hapo jana usiku.

MIKE TYSON 'IRON'

Picha
'Iron' Mike Tyson in his own words as he turns 50 By James Dielhenn “Tyson doesn’t even exist anymore – this is me, Michael, doing what I always wanted to do.” On his 50th birthday, ‘Iron’ Mike Tyson has mellowed from his ferocious heyday but remains a boxing figure more recognisable than anyone except the great Muhammad Ali.

CLAUDE PUEL KOCHA MPYA SOUTHAMPTON

Picha
Claude Puel  ametangazwa kuwa kocha mpya wa  Southampton (picha na Southampton Football Club) Southampton wamethibitisha kumteua Claude Puel kuwa kocha wao mpya kwa mkataba wa miaka mitatu.

WALES VS BELGIUM - ROBO FAINALI YA PILI LEO

Picha
Robo fainali ambayo inasubiliwa kwa hamu katika michuano ya Euro 2016 ni hii ya leo ambapo Wales watajitupa uwanjani kuvaana na Belgium, ambayo ni timu inayoogopwa zaidi barani Ulaya.

URENO YATINGA NUSU FAINALI EURO

Picha
Ureno imetinga hatua ya nusu fainali katika michuano ya Euro inayoendelea nchini Ufaransa na kuwa nchi ya kwanza kufuzu katika hatua hiyo baada ya kuwafunga Poland kwa mikwaju ya penalti 5-3.

MAGAZETI YA LEO 1/6/2016

Picha
 Hiki ndicho kilicho andikwa kwenye Magazeti ya Tanzania leo Julai 1, 2016 Siasa, Udaku, michezo Julai 1, 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenye  Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye, Udaku ,  Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu.. usiache kukaa karibu yangu kwenye facebook, twitter na instagram @cauntermgaya ili niwe nakutumia kila kinachonifikia.