CLAUDE PUEL KOCHA MPYA SOUTHAMPTON

Claude Puel ametangazwa kuwa kocha mpya wa Southampton
(picha na Southampton Football Club)
Southampton wamethibitisha kumteua Claude Puel kuwa kocha wao mpya kwa mkataba wa miaka mitatu.
Mfaransa huyomwenye umri wa miaka 54 amechukua nafasi ya kocha Ronald Koeman ambaye aliandika barua ya kutaka kujiunga na Everton.

Maoni
Chapisha Maoni