RONALDO: NA KUSTAAFU SOKA

Portugal forward Cristiano Ronaldo talks to coach Fernando Santos
Mshambuliaji wa Ureno Cristiano Ronaldo akiongea na kocha wake Fernando Santos
Kocha mkuuwa Ureno Fernando Santos amekanusha madai ya kwamba fainali ya Euro ambayo watakutanaleona Ufaransa kuwa utakuwa nimtanange wa mwisho kwa nyota Cristiano Ronaldo kuitumikia timu ya taifa.

Cristiano Ronaldo proved decisive in Portugal's semi-final win over Wales
 Ronaldo kwa muda mwingi ameonekana kuzungumziwa mara baada ya swaiba wake Lionel Messi kutangaza kujiuzulu kutumikia timu ya taifa ya Argentina hali iliyotokana na kushindwa katika changamoto ya mikwaju ya penalti dhidi ya Chile kwenye fainali ya Copa America mwezi juni.
Ronaldo, 31,hajafanikiwa kutwaa kombe lolote la kimataifa wakati wote akitumikia timu ya taifa katika mashindanoyote, muda wote wamekuwa wakipoteza ikumbukwe fainali dhidi ya Ugiriki kwenye Euro 2004 ambapo Ureno ilipoteza, lakini Santos amesema Nyota huyo hana mpango wa kufuata nyayo za Messi.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii